Karibu Springster!

Eneo letu la kipekee la wasichana kwenye intaneti lina makao mapya kabisa.

Karibu Springster!

Hujambo, msichana! Karibu kwenye Springster mpya yenye kila kitu kinachopendeza!

Unauliza, Sprinster ni nini?

Springster ni Global Girls’ Club, iliyoundwa na, na kwa ajili ya wasichana kama wewe tu!

Angalia vipengele hivi vipya kwenye intaneti yetu mpya:

Hadithi kutoka kwa wasichana kama wewe!
Mazoezi na michezo!
Vidokezo na mbinu!
Ushauri muhimu na Maswali na Majibu ya kufurahisha!
Mashindano na mafumbo!
Tumia wasifu ili ujieleze!
…Na mengine mengi. Kwa kweli ni mambo mengi sana!

Uko tayari kufurahia? Jitahidini wasichana! Kwa sabau kuanzia sasa? Kila Mtu ni Springster!