Hadithi zile zile zinazopendeza, Mitindo Yote Mipya!

Girl Effect Mobile inakuwa Springster.

Hadithi zile zile zinazopendeza, Mitindo Yote Mipya!

Hujambo, msichana!

Karibu Springster!

Lakini subiri, je, hii si tovuti inayoitwa Girl Effect Mobile? Na si Girl Effect Mobile tayari inapendeza?

Kwa nini ibadilishwe?

Usihofu! Springster ni sehemu zote bora za tovuti yetu ya awali yenye mambo mazuri ya kugundua!

Springster siyo sura mpya, jina jipya na vipengele vipya tu… Ni jamii nzima na tuna mambo mengine mengi ya ajabu ya kuifanya siku yako ya kufurahisha kiasi.

Na mambo yote uliyopenda kuhusu Girl Effect Mobile? Bado yapo hapa na bora zaidi!

Endelea kufuatilia matukio haya kwa wiki chache zifuatazo tunapozindua - tuna hamu kubwa sana ya kuishiriki nawe!