Kila mtu ni Springster!

Sehemu ya 8: Je, Springsters Wanafanikiwaje? Tunamhusisha kila mtu.

Kila mtu ni Springster!

Vipi msichana, mambo!

Kuwa Springster kunahusu kuwatendea watu kwa upendo, heshima na ukarimu. Katika ulimwengu wetu, kila mtu ni sawa- hata kama mtu anaonekana kuwa tofauti na wewe, kwa undani sisi sote ni sawa. Mtu yeyote anaweza kuwa Springster, mnakaribishwa nyote hapa!

Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster! Kila mtu ni Springster!

Shiriki upendo na rafiki na usome Hadithi zetu zote za Springster hapa!